Watu wengi huitumia karoti
kama kiungo ama kikolezeo cha
mboga.
Mbali na kutumika kama kiungo
cha kwenye mboga, karoti ina
faida mbalimbali kwa afya ya
mwanadamu.
Karoti ina uwezo wa kutibu
matatizo yafuatayo ya kiafya :
i. Inalainisha tumbo
ii. Inapigana na upungufu
wa damu
iii. Inasaidia kuzuia Saratani
iv. Inasaidia kutibu Baridi
yabisi
v. Inasaidia Kusafisha damu
vi. Inatibu Vidonda vya
tumbo
vii. Inasaidia Kutibu chunusi
viii. Inasaidia kutibu Macho
ix. Inasaidia kutibu Koo na
Kibofu cha mkojo.
x. Inasaidia kulainisha na
kunawirisha ngozi na
kuifanya yenye afya
MATAYARISHO
Chukua karoti kilo 1, ponda au
twanga iwe laini, chemsha kwa
dakika 15 ndani ya maji lita 1 na
nusu au 2, chuja kunywa juisi yake
kwa vidonda vya tumbo au
saratani ya tumbo na matumbo au
saratani ya kizazi, tumia nusu
kikombe cha chai miezi 3 mpaka 6.
Kwa ajili ya kurembesha uso
nawia juisiyakekila siku asubuhi
mfululizo kwa siku 5.
kama kiungo ama kikolezeo cha
mboga.
Mbali na kutumika kama kiungo
cha kwenye mboga, karoti ina
faida mbalimbali kwa afya ya
mwanadamu.
Karoti ina uwezo wa kutibu
matatizo yafuatayo ya kiafya :
i. Inalainisha tumbo
ii. Inapigana na upungufu
wa damu
iii. Inasaidia kuzuia Saratani
iv. Inasaidia kutibu Baridi
yabisi
v. Inasaidia Kusafisha damu
vi. Inatibu Vidonda vya
tumbo
vii. Inasaidia Kutibu chunusi
viii. Inasaidia kutibu Macho
ix. Inasaidia kutibu Koo na
Kibofu cha mkojo.
x. Inasaidia kulainisha na
kunawirisha ngozi na
kuifanya yenye afya
MATAYARISHO
Chukua karoti kilo 1, ponda au
twanga iwe laini, chemsha kwa
dakika 15 ndani ya maji lita 1 na
nusu au 2, chuja kunywa juisi yake
kwa vidonda vya tumbo au
saratani ya tumbo na matumbo au
saratani ya kizazi, tumia nusu
kikombe cha chai miezi 3 mpaka 6.
Kwa ajili ya kurembesha uso
nawia juisiyakekila siku asubuhi
mfululizo kwa siku 5.
Chapisha Maoni