MCHICHA ni mboga maarufu
miongoni mwa watanzania.
Mbali na kutumiwa kama
mboga, mchicha ni tiba ya
matatizo mbalimbali ya kiafya.
Kwa mujibu wa tafiti
mbalimbali za kitaalamu,
mchicha huweza kutibu
matatizo yafuatayo :
i. Kuumwa mgongo
ii. Kusafisha njia ya mkojo
iii. Kusafisha damu
iv. Unatibu Magonjwa ya Figo
v. Unatibu minyoo
vi. Unatibu Baridi yabisi
vii. Tezi la shingo
viii. Homa
ix. Kuongeza damu
x. Unasaidia kupata haja
ndogo kwa wingi
xi. Unarutubisha uwezo wa
kuona vizuri.
JINSI YA KUTUMIA MCHICHA
KAMA DAWA
MATAYARISHO
Chukua mchicha kilo 1 ya
mchicha, chemsha maji lita 2 na
nusu. Yakichemka loweka
mchicha kwa dakika 15. Tumia
kikombe. Ni bora utumie yote
kwa siku . Dozi ni siku 5
KAMA UNATAKA KUTIBU
MGONGO: Chukua mchicha ponda.
Chua mara 3 kwa siku. Usiku
unapasha moto mchicha kisha
unufunga mahali panapouma.
Lala nao wakati vuguvugu la joto
lake lenye maji ndani (dawa)
ikiingia ndani fanyahivyo kwa
siku 5, ukibadilisha kila siku
(fresh)
KUTUMIA MCHICHA KAMA TIBA YA
TEZI LA SHINGO Chukua mchicha
kiasi kidogo, ponda, fungia
shingoni pale penye uvimbe
wakati unapolala kwa kitambaa,
kwa muda wa siku 5.
miongoni mwa watanzania.
Mbali na kutumiwa kama
mboga, mchicha ni tiba ya
matatizo mbalimbali ya kiafya.
Kwa mujibu wa tafiti
mbalimbali za kitaalamu,
mchicha huweza kutibu
matatizo yafuatayo :
i. Kuumwa mgongo
ii. Kusafisha njia ya mkojo
iii. Kusafisha damu
iv. Unatibu Magonjwa ya Figo
v. Unatibu minyoo
vi. Unatibu Baridi yabisi
vii. Tezi la shingo
viii. Homa
ix. Kuongeza damu
x. Unasaidia kupata haja
ndogo kwa wingi
xi. Unarutubisha uwezo wa
kuona vizuri.
JINSI YA KUTUMIA MCHICHA
KAMA DAWA
MATAYARISHO
Chukua mchicha kilo 1 ya
mchicha, chemsha maji lita 2 na
nusu. Yakichemka loweka
mchicha kwa dakika 15. Tumia
kikombe. Ni bora utumie yote
kwa siku . Dozi ni siku 5
KAMA UNATAKA KUTIBU
MGONGO: Chukua mchicha ponda.
Chua mara 3 kwa siku. Usiku
unapasha moto mchicha kisha
unufunga mahali panapouma.
Lala nao wakati vuguvugu la joto
lake lenye maji ndani (dawa)
ikiingia ndani fanyahivyo kwa
siku 5, ukibadilisha kila siku
(fresh)
KUTUMIA MCHICHA KAMA TIBA YA
TEZI LA SHINGO Chukua mchicha
kiasi kidogo, ponda, fungia
shingoni pale penye uvimbe
wakati unapolala kwa kitambaa,
kwa muda wa siku 5.
Chapisha Maoni