i. Nyunyiza juisi ya Kitunguu saumu katika
sikio linalouma
ii. Nenda Hospitali ukapigwe bomba ili maji na
uchafu upate kutoka
iii. Pasha moto mafuta ya Zaituni (Olive oil) na
yasubiri yapowe na ujitie drops mbili hadi 3
iv. Na usafishe masikio yako kila baada ya
kutoka kukoga.
KUTOKWA NA USAHA SIKIONI:
Ikiwa utaweka kitu kama ujiti wa kiberiti au
mfano wake sikioni, unaweza kusababisha
jeraha kwenye sikio na damu kuanza kutoka.
Baadae usaha unaweza kutungwa sehemu
ya jeraha na kutoka kidogokidogo. Lakini pia
mashambulizi ya bacteria sikioni yanaweza
kusababisha kutokwa na usaha.
TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO NA
KUTOKWA NA USAHA:
Kanuni ya kwanza:
Chukua maji masafi ujazo wa kijiko kimoja
cha chai halafu uchukue chumvi kidogo kiasi
cha vidole viwili uchanganye ndani ya maji
hayo kisha hayo maji uchanganye na asali
kijiko kimoja kidogo cha chai. Weka tone
moja ya dawa hii ndani ya sikio lenye kuuma
au kutokwa na usaha kutwa mara tatu.
Kanuni ya pili:
Dondoshea tone moja ya mafuta ya kitunguu
saumu ndani ya sikio ambalo linauma au
kutokwa na usaha kutwa mara tatu..
Kanuni ya tatu:
Chukua mafuta ya habat soda na ufanye
kama kanuni ya pili.
Kanuni ya nne:
Ikiwa maradhi ya sikio ni kwa ajili ya bacteria,
kunywa antibayotiki asilia kama vile juisi ya
Aloe vera, kitunguu saumu, n.k
+ coment + 10 coment
Kutana na mtaalamu wa mitishamba anatibu ugumba ..uzazi ..nguvu za kiume..kutibu jino bila kung'oa ...kukuza uume..kukuza shape na hips mpigie 0744903557 tanga
Sikio langu la kushoto ni la muda mrefu Sana tangu nikiwa mdogo Hadi sasa namiaka 30 linatoa usaha halufu na linauma sana na kusikia linasikia kwa mbali sana, Je dawa gani nitumie kulitibu.!?
Sikio langu kulia linauma sana na linaziba
Dawa ake nn
Maskio yangu yanasikia kwa mbali dawa gani nitumie kuzibua
Nina shida ya sikio kutosia vizuri nifanyaje kujitibu
sikio langu limeziba yaani masikia kwa mbali ila haliumi nini nifanye
Jmn mim ninaumia masikio yote mawili paka sasa yanatoa usaa nifanyej ???
Masikio yote yanauma na kutoa usaha msaada tafazar
Sikio langu la kushoto linauma shida itakuwa nini?
Wote mnaosumbuliwa na masikio mtafuteni huyo Dr mtakuja kunishukuru 0675160855/ 0716763008
Chapisha Maoni