NYAMA NDANI YA PUA (NASAL POLYPS)

0 coment



Nyama ndani ya pua/ Nasal polyps
Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe
zinazojitokeza toka katika kiwamboute
ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina
yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa
mucosa uliozidi kawaida ambao mara
nyongi huambatana na Allergic Rhinitisna
pia huwa haviumi na ni huru
katika mwenendo ndani.( Freely
movable)
Maelezo juu ya Nyama za pua (Nasal
polyps)
Nyama za pua (Nasal polyps) mara nyingi
zinawekwa katika makundi mawili
ambayo kitaalamu yanajulikana
kamaantrochoanal polyps
na ethmoidal polyps. Antrochoanal polyps
huchipua ama kuota toka katika vijitundu
viitwavyomaxillary sinuses na hizi huwa
ni mara chache kuwapata watu.
Ethmoidal polyps hizi hichipua ama huota
toka katika vijitundu
viitwavyo ethmoidal
sinuses.
Antrochoanal polyps mara nyingi
huadhili tundu moja ya tu pua
wakati ethmoidal polyps huwa ni nyingi
na huathili tundu zote za pua.
Dalili za mtu mwenye nyama za pua
Mara nyingi mtu mwenye nyama aina hii
huhisi pua kuziba, sinusitis, kupoteza hali
ya kunusa harufu ain yoyote, kupata
maumivu ya kichwa. Pamoja na
kuziondoa kwa njia ya upasuaji nyama
hizi huwa zinatabia ya kujirudia kuota
tena, karibu asilimia 70% ya upasuaji
hujirudia. Upasuaji unahitaji umakini
mkubwa ili kuepusha uharibifu wa
maeneo mengine ndani ya pua na jicho
(orbit matter).

Kuna aina kuu 2 za nasal polyps.

1. Antrochoanal
a. Moja (Single),
Huathili tundu
moja (Unilateral)
b. Can originate
from maxillary
sinus
c. Hasa
huwapata
watoto (Usually
found in
children).
2. Ethmoidal
a. huathili tundu
zote mbili
(Bilateral)
b. Mara nyingi
huawapata watu
wazima (Usually
found in adults).

Visababishi

Namna nyama za pua zinavyojitokeza
bado haifahamiki, ila inafikirika kuwa
nyingi husababishwa na Allergy na kwa
uchache cyst fibrosis.
Aina ya magonjwa yanayo ambatana na
utekeaji wa nyama za pua.
1. Chronic rhinosinusitis
2. Asthma
3. Aspirin intolerance
4. Cystic fibrosis
5. Kartagener's syndrome
6. Young's syndrome
7. Churg-strauss syndrome
8. Nasal mastocytosis
Exposure to some forms of chromium can
cause nasal polyps and associated
diseases.

Matibabu.

Nasal polyps mara nyingi hutibiwa kwa
njia ya upasuaji, aina ya steroids za
kupaka nk.


Share this article :

Chapisha Maoni

 
Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved