TIBA KUPITIA ASALI NA MDALASINI

3coment





FAIDA ZA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI

Matatizo mengi yanayosumbua jamii hutibika sio tu kwa hospitali bali meng hutibiwa kwa njia za asilia haswa za kissuna. Tuangalie faida za Mdalasini na Asali kwa baadhi ya maradhi

1)  MATATIZO YA KIBOFU > vijiko viwili vya unga wa mdalasini na vijiko viwili vya asali changanya vyote na glass moja ya maji ya moto  tumia asubuh na usiku

2)  KANSA  >  Utapata matukeo mazur kwa kansa ya mifupa na tumbo,chukua kijiko cha asali na kijiko cha mdalasini changanya kisha tumia mara tatu kwa siku muda wa mwenzi mzima

3)  MATATIZO YA UZAZI  > Kwa mwanaume tumia vijiko viwili vya asali kila unapo kwenda kulala itakupa manii zenye uimara 
  kwa mwanamkechanganya mdalasini na asali zote nusu kijiko kisha finya mchanganyiko huo kwa vidole na uweke kwenye fizi za meno ili ujichanganye na mate uingie mwilini na kuimarisha mfuko wa uzazi

4)   TUMBO  > Asali na mdalasini huondoa maumivu ya tumbo,huondoa gesi na hutibu vidonda vya tumbo kwa kuondoa wadudu walioko tumboni na pia kukupa afya nzuri.

5)  MAFUA >  Wanasayansi wa spain wamethibitisha kua asali hua na mchanganyiko ambao huasidia kutibu mafua

6) MAGONJWA YA NGOZI  >  Pakaa asali na mdalasini kwa makadirio sawa hutibu magonjwa yote ya ngozi 

7) HARUFU MBAYA YA KINYWA >  kitu cha kwanza asubuhi piga mswaki kwa mchanganyiko wa asali na mdalasini kijiko kimoja kwa kila dawa kisha sukutua kwa maji moto

8) PUNGUZA UNENE  >  
                                         NJIA YA KWANZA
 tumia kwa mfumo huu  yaani asali iwe nyingi kuliko mdalasini mfano kijiko kimoja cha mdalasini kwa vijiko viwili vya asali 

                                         NJIA YA PILI
chemsha kikombe kikubwa cha maji kisha epua maji weka mdalasini acha yapoe kwa nusu saa na hakikisha maji yamepoa ndo uweke asali kwan maji yamoto huua virutubisho vya asali kisha utakunywa NUSU ya mchanganyiko huo usiku wakati wa kulala kisha asubuhi malizia mchanganyiko huo BILA kuuchemsha tena

9)  CHUNUSI  > chukuavijiko vitatu vya asali na kijiko kimoja cha mdalasini kisha weka mchanganyiko huo kwenye chunusi kabla hujalala kisha asubuhi utautoa kwa maji ya moto tumia kila siku ndani ya wiki mbili chunusi zitakwisha

FAIDA ZINGINE > huongeza nguvu na kukupa uchangamfu pia huongeza nguvu za kiume na kukusaidia kujiskia vyema katika tendo, hurudisha nywele, kwa vipara huongeza nguvu za mwili na kukusaidia kuto kuzeeka mapema, na ndio tiba pekee inayotibu magonjwa ya mifupa
(Arthritis).
Share this article :

+ coment + 3 coment

5 Agosti 2016, 08:54

poa poa

Bila jina
7 Januari 2023, 20:16

Dozi ya upungufu wa nywele unaitumiaje

Bila jina
17 Januari 2023, 03:48

Shukran sana

Chapisha Maoni

 
Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved