VIPIMO
Mayai 5
Sukari 450gm (1 lb)
Unga wa Ngano 1 kg
Siagi 450gm (1 lb)
Baking powder ½ Kijiko cha
chai
Unga wa Custard Vijiko 2 vya
chakula
Karanga za kusaga 250gm
Jam ½ kikombe
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
1. Chukua bakuli la kiasi, weka sukari na siagi.
2. Changanya sukari na siagi kwa kutumia
mashine ya kukorogea keki (cakemixer), mpaka
sukari ichanganyike na siagi.
3. Vunja yai moja moja na weka kiini chake
kwenye mchanganyiko wa sukari na siagi,
endelea kuchanganya mpaka ichanganyike
vizuri. Hifadhi ute wa mayai ndani ya kibakuli.
4. Mimina unga wa ngano ndani ya
mchanganyiko wako huku
ukichanganya Changanya unga wa custard na
baking powder.
5. Tengeneza viduara vidogo vidogo.
6. Vichovye viduara ndani ya ute wa yai kisha
zimwagie unga wa karanga na kuzipanga
kwenye tray ya kuchomea.
7. Weka dole gumba kati kati ya kila kiduara na
uweke jam.
8. Washa jiko (oven) 350F na uchome vileja
vyako kwa dakika 20.
9. Toa vileja vyako vipoe na uviweke ndani ya
sahani tayari kwa kuliwa.

Chapisha Maoni