MARADHI 27 YANAYOTIBIWA KWA KUTUMIA ASALI YA NYUKI

0 coment

Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa
mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika
kwa karne nyingi zilizopita duniani
kote.Vitabu vingi vya zamani vinazungumzia
namna watu walivyotibiwa magonjwa
mbalimbali kutokana na asali.Moja ya vitabu
hivyo ni KURUANI TUKUFU ambayo Mwenyezi
Mungu
anaitaja asali kama tiba(AN-NAHL
16:68-69).Sasa hivi kuna makala nyingi zilizo
andikwa zikielezea kuhusu uwezo wa asali
katika tiba ya magonjwa mbalimbali.Warusi
na Wafaransa wanafahamika sana katika
kufanya utafiti katika maabara kuhusu
uwezo wa asali katika tiba mbali na Kuruani
Tukufu kuna
baadhi ya vitabu vingine vinavyofahamika
kuandikwa na watafiti kuhusu uwezo wa
asali katika tiba.Moja kile cha BEES DON'T GET
ARTHRITIS CHA FRED MALONE NA BEE IN
BALANCE CHA AMBER ROSE.
Leo tuangalie tiba ya asali na mdalasini na
namna ya kuitumia kutibu maradhi
mbalimbali(asali tunayoizungumzia hapa ni
asali safi mbichi.)
BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIWA
KWA ASALI NA MDALASINI NI KAMA
IFUATAVYO:
1.UGONJWA WA VIUNGO/MAUMIVU NA
UVIMBE(ARTHRITIS)
-Chukua maji kiasi vuguvugu na ongeza
mdalasini (unga kijiko cha chai na asali vijiko
2 vya chakula na kuchua sehemu zenye
maumivu)
-Vilevile waweza kutengeneza kikombe
kimoja cha chai kwa kuweka kijiko kimoja
cha unga wa mdalasini na kuongeza asali
vijiko viwili vya chakula na kisha kunywa
ikiwa ya moto kutwa mara mbili(asubuhi na
jioni)
2.KUKATIKA KWA NYWELE(HAIR LOSS)
-Asali ikichanganywa na mdalasini na mafuta
vuguvugu ya olive hutia kichocheo
maridhawa cha kuotesha nywele.
-Tumia mchanganyiko huo vuguvugu kwa
kupaka na kusugua kichwani na acha kwa
dk 15 kisha uoshe.
3.UKUNGU WA MIGUU(FUNGUS)
-Changanya kijiko cha chakula cha asali na
vijiko viwili vya chai vya mdalasini na acha
kwa muda wa nusu saa kisha safisha .(rudia
hivyo mpaka upone)
4.MAAMBUKIZI KWENYE KIBOFU CHA
MKOJO(BLADDER INFECTION)
-Changanya maggy ya maji vuguvugu na
vijiko2 vya chai vya mdalasini na kijiko1 cha
asali huondoa bakteria kwenye kibofu.
5.MAUMIVU YA JINO(TOOTHACHE)
-Changanya sehemu tano za asali na sehemu
moja ya mdalasini na dondoshea kwenye jino
linalouma hadi maumivu yatakapotoweka.
6.VIDONDA VITOKANAVYO NA MAGONJWA
YA KULALA KWA MUDA MREFU(BED SORES)
-Paka saladi iliyochanganywa asali na
mdalasini.Vilevile tumia chai ya roseberry
nyekundu kwa kuondoa maumivu makali ya
canker sores/bed sores.
7.LEHEMU(CHOLESTRAL)
-Changanya asali safi mbichi vijiko2 vya
chakula na unga wa mdalasini vijiko2 vya
chakula na kikombe cha chai cha maji ya
moto na unywe kutwa mara 3
8.MAFUA(COLDS)
-Tumia mchanganyiko wa kijiko 1 cha
chakula cha asali vuguvgugu na robo kijiko
cha unga wa mdalasini kuondoa chafya na
kuvimba koo.
9.UGUMBA(INFERTILITY)
-Asali inaaminika kuamsha hamu ya
mapenzi.Kwa wapenzi. wa jinsia zote
wanashauriwa kunywa walau vijiko 2 vya
chakula kila siku kabla ya muda wa
kulala..Mdalasini imetumika muda mrefu
katika dawa za kichina na kihindi kuongeza
uwezo wa uzazi kwa akina mama wenye
kuhitaji kuzaa
-Changanya mdalasini na kiasi cha asali na
kufanya mgando (paste)na upake kwenye
fizi na meno na kuacha inyonywe na kuingia
mwilini taratibu na hii ni kwa akina mama
wasio na sababu za kimsingi za
kuwakosesha kuzaa.
10.MCHAFUKO WA TUMBO(STOMACH
UPSET)
-Asali kwa muda mrefu imetambulika kama
dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo
na kichefuchefu.Ongeza kiasi kidogo cha
mdalasini na asali pia hupunguza maumivu
yaletwayo na vidonda vya tumbo.
11.GESI(ACID)
-Kula asali pamoja na mdalasini kuondoa
mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na
gesi(acid)huu ni uchunguzi ulio fanywa na
Japan na India
12.UGONJWA WA MOYO(HEART DISEASE)
-Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa
moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa
mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula
asali na mdalasini mara kwa mara kwa
kupakaa kama jam wakati wa kula mkate wa
ngano wenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa
kijiko 1 cha chakula cha mchanganyiko huo
(asali na mdalasini) kila siku
13.SHINIKIZO LA DAMU(H/B/P)
-Shinikizo la damu pamoja na matatizo
yaambatanayo na maumivu ya kifua na
kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa
wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya
upata dozi ya mara kwa mara ya asali
iliyochanganywa na mdalasini.
14.KINGA YA MWILI(IMMUNE SYSTEM)
-Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu
zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na
mdalasini kwa pamoja.Utafiti unaonyesha
kuwa hazina kubwa ya vitamini
(virutubisho),madini pamoja na
mchanganyiko wa mdalasini na asali
iondoayo magonjwa na kinga itolewayo na
chembechembe nyeupe za damu husaidia
kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu
vimelea(virus)na bakteria.
15.UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
(UHANITHI/IMPOTENCE)
-Asali ina historia ndefu ya kuamsha nguvu
ya uume pamoja na kuwa dawa madhubuti
ya kuponyesha uhanithi kutokana na uwezo
wake kama kiamshaji/chaji.Asali ilipigwa
marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini
za mashariki za dunia.Watafiti wa kiaustralia
waligundua kwamba asali inauwezo wa
kupelekea mwili kutoa homoni mbalimbali
kama ilivyo mdalasini.
-Katika Afrika na dunia ya kusini mabaharia
wamekuwa wakipaka asali katika sehemu
zao za nje ya uume ili kuongeza nguvu ya
kufanya mapenzi.
16.KUTOKUCHAGULIWA KWA CHAKULA
(INDIGESTION)
-Kula vijiko 2 vya asali iliyonyunyiziwa
mdalasini kabla ya mlo huondoa kiungulia na
wataalam wanasema asali husaidia kutolewa
kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa
chakula tumboni na mdalasini unaongeza
kasi ya kuchaguliwa kwa chakula.
17.FLU(INFLUENZA)
-Tafiti moja ya Kihispania imethibitisha
kwamba aina ya dawa iliyopo katika asali ni
dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibu
vimelea(virus)waletao flu.
18.KUONGEZA UMRI WA KUISHI
(LONGEVITY)
-Unaweza kuishi hadi miaka 100 na
kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa
kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya
mdalasini na asali.Kutengeneza kinywaji hiki
kitamu weka vijiko
4(vikubwa)vya mdalasini na vijiko 4 vya
asali,vikombe 3 vya maji na koroga kwa dk
10 kisha kunywa robo kikombe mara 3 au 4
na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.
19.KUONDOA CHUNUSI(PIMPLES)
-Changanya vijiko 3 vikubwa vya asali na
kijiko 1 kikubwa cha mdalasini na pakaa
kwenye chunusi.Uwezo wa asali wa kuua
bakteria unafanya uso kuwa wa kawaida
katika muda wa wiki 2.
20.KUUMWA NA WADUDU(WASHA WASHA
WENYE SUMU)
-Changanya asali na mdalasini kisha pakaa
moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika
na rudia tena hadi uvimbe uishe.
21.MADHARA YA NGOZI(INFECTIONS)
-Fanya kama ilivyoandikwa namba ishirini
hapo juu.
22.KUPUNGUZA UZITO.
-Waweza kufurahia vyakula vyote
unavyovipenda kuwa na afya nzuri na
kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki
kwa kula chakula chenye nguvu na ladha
nzuri kilichojaa vitu muhimu viwili ambavyo
ni asali na mdalasini.
-Unachohitajika kufanya ni kuhakikisha
unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi
yako.Vilevile wataalam wanasema unaweza
kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyama
nyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako
kwa kutumia vijiko 2 vikubwa vya asali na
kijiko 1 cha mdalasini.Rudia mchanganyiko
huo kabla ya kulala.Wataalam wamethibitisha
kuwa inapunguza hamu ya kula na kuleta
joto mwilini.
23.SARATANI(CANCER)
-Utafiti uliofanyika huko Australia na Japan
umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwa
katika tiba ya magonjwa kwa anaetumia
madawa ya kutibu saratani.Katika tafiti
iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa
wanaugua saratani ya mifupa na utumbo
ambao walikuwa wanatumia kila siku dozi ya
asali na mdalasini walionyesha kupata nafuu
maradufu kuliko wale waliokuwa wanatumia
madawa ya kutibu saratani peke
yake.Dr.HIROKI OWATA alisema waliwapa
mchanganyiko wa asali na mdalasini kijiko
kimoja kutwa mara 3 kwa mwezi 1 na
wengine waliendelea kama kawaida.
24.KUONDOA UCHOVU(FATIQUE)
-Uko ushahidi kwamba sukari asilia iliyopo
katika asali inauwezo wa kuongeza nishati
mwilini.Zikitumika ipasavyo sukari hii
inaweza kuwasaidia wazee na wengine
wanaosumbuliwa na uchovu.Wataalam
wanapendekeza kuchanganya nusu kijiko
cha asali katika nusu kikombe cha maji
yaliyonyunyiziwa mdalasini kunywewa
masaa mawili baada ya kuamka.Rudia
kunywa saa 9 alasiri wakati nishati
(nguvu)inapoanza kuisha kufuatia ushauri
wa dr.MILSTON ABBOZZA ambaye kazi zake
kuhusu asali na mdalasini kama kichocheo
cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa.
25.KUVIMBA NYAYO(SOREFEET)
-Changanya asali na mdalasini katika maji
vuguvugu na uchue miguu
(nyayo)zilizoathirika baada ya siku ndefu ya
kazi au baada ya mazoezi marefu.Rudia kila
asubuhi na unawe nyayo kwa maji baridi na
vaa viatu.
26.HARUFU MBAYA MDOMONI
-Chukua maji ya vuguvugu changanya na
asali na mdalasini kisha sukutua kila
asubuhi.Katia Asia ya kusini mashariki watu
hula kijiko cha asali na mdalasini ili kuondoa
harufu mbaya(halitosis).Wataalam wanaamini
uwezo wa kuua bakteria uliopo kwenye asali
ndio unaopigana na harufu mbaya toka
mdomoni.
27.KUPUNGUA KWA USIKIVU(LOSS OF
HEARING)
-Dozi za kila siku za asali na mdalasini
hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama
ilivyogunduliwa na Wagiriki zamani.
-Kutumia mdalasini na asali kutakufanya
uonekane kuwa na afya nzuri.
Photo: MARADHI 27 YANAYOTIBIWA KWA KUTUMIA
ASALI YA NYUKI

Share this article :

Chapisha Maoni

Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved