Sikio (Ear) limegawika katika
sehemu tatu kuu. Sehemu ya nje
ya sikio, sehemu ya kati ya sikio na
sehemu ya ndani ya sikio.
Kuna aina mbili ya matatizo ya
masikio nayo ni:
i. Otitis media : ambayo
hutokea katika
sehemu ya kati ya
sikio na mara nyingi
huwatokea watoto
wachanga na watoto
wadogo.
ii. Otitis externa: ambayo
hutokea katika
sehemu ya ndani ya
sikio na mara nyingi
huwatokea
waogeleaji, na
hutokea zaidi wakati
wa baridi.
Ishara za Matatizo ya masikio kwa
Otitis media
i. Kuumwa na kuchomwa
kwa sikio
ii. Kutokwa na uchafu
ndani ya sikio
iii. Kutosikia kwa ghafla
iv. Homa
Sababu za Otitis media:
· Sababu kubwa ya maradhi
hayo ni kuziba kwa bomba
la sikio(Eustachiantube),
kutokana na baridi, allergy
pamoja na kuingia takataka.
Hii inababisha maji maji ya
sikio kujaa maji hayo nayo
husababisha uvimbaji wa
(ear drum) sikio.
Sababu za Otitis externa
· Hii husababishwa na
baketeria au fungi, maji maji
yanayoingia ndani ya sikio
ndio sababu kuu ya kufanya
bakteria na fungi kuzaana
pia Skin allegies
husababisha maradhi hayo.
Na sababu nyengine ni ulaji
mbovu wa chakula pamoja na
upungufu wa usafi wa mwili.
DAWA ZA KUJITIBU MARADHI YA
MASIKIO:
i. Nyunyiza
juisi ya
Kitunguu
saumu katika
sikio
linalouma
ii. Nenda
Hospitali
ukapigwe
bomba ili
maji na
uchafu upate
kutoka
iii. Pasha moto
mafuta ya
Zaituni
(Olive oil) na
yasubiri
yapowe na
ujitie drops
mbili hadi 3
iv. Na usafishe
masikio yako
kila baada ya
kutoka
kukoga.
KUTOKWA NA USAHA SIKIONI:
Ikiwa utaweka kitu kama ujiti wa
kiberiti au mfano wake sikioni,
unaweza kusababisha jeraha
kwenye sikio na damu kuanza
kutoka. Baadae usaha unaweza
kutungwa sehemu ya jeraha na
kutoka kidogokidogo. Lakini pia
mashambulizi ya bacteria sikioni
yanaweza kusababisha kutokwa
na usaha.
TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO NA
KUTOKWA NA USAHA:
· Kanuni ya kwanza:
Chukua maji masafi ujazo wa kijiko
kimoja cha chai halafu uchukue
chumvi kidogo kiasi cha vidole
viwili uchanganye ndani ya maji
hayo kisha hayo maji uchanganye
na asali kijiko kimoja kidogo cha
chai. Weka tone moja ya dawa hii
ndani ya sikio lenye kuuma au
kutokwa na usaha kutwa mara
tatu.
Kanuni ya pili
Dondoshea tone moja ya mafuta
ya kitunguu saumu ndani ya sikio
ambalo linauma au kutokwa na
usaha kutwa mara tatu..
· Kanuni ya tatu
Chukua mafuta ya habat
soda na ufanye kama kanuni
ya pili.
· Kanuni ya nne
Ikiwa maradhi ya sikio ni
kwa ajili ya bacteria,
kunywa antibayotiki asilia
kama vile juisi ya Aloe vera,
kitunguu saumu, n.k.
Chapisha Maoni