1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa
kupambana na magonjwa madogo kama
mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na
vitamin C
2. Husafisha Mfumo wako wa chakula,
kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo
kujaa gesi mara kwa mara
3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu
sana kwa watu wanaonuka midomo
4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya
siku yako ianze vizuri sana
5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka
kutokana na kuwa na ascorbic acid ya
kutosha. Pia huimarisha mifupa
6. Husaidia mmeng’enyo wa chakula
utakachokula asubuhi au mchana kwa
kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza
kuzuia umeng’enyaji wa chakula.
7. Huimarisha Ngozi yako, kuondoa
makunyanzi na kukupa muonekano
mzuri.
8. Husaidia kwa kiasi kikubwa
kupunguza uzito kwani maji moto ya
limao huyeyusha mafuta ya kutosha.
9. Huyapa macho yako afya nzuri na
kuimarisha kuona.
10. Huondoa hali ya kuhitaji kahawa kila
asubuhi ambayo si nzuri kiafya.
kupambana na magonjwa madogo kama
mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na
vitamin C
2. Husafisha Mfumo wako wa chakula,
kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo
kujaa gesi mara kwa mara
3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu
sana kwa watu wanaonuka midomo
4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya
siku yako ianze vizuri sana
5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka
kutokana na kuwa na ascorbic acid ya
kutosha. Pia huimarisha mifupa
6. Husaidia mmeng’enyo wa chakula
utakachokula asubuhi au mchana kwa
kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza
kuzuia umeng’enyaji wa chakula.
7. Huimarisha Ngozi yako, kuondoa
makunyanzi na kukupa muonekano
mzuri.
8. Husaidia kwa kiasi kikubwa
kupunguza uzito kwani maji moto ya
limao huyeyusha mafuta ya kutosha.
9. Huyapa macho yako afya nzuri na
kuimarisha kuona.
10. Huondoa hali ya kuhitaji kahawa kila
asubuhi ambayo si nzuri kiafya.
Chapisha Maoni