Vipimo:
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2
Siagi 4 Vijiko vya supu
Maziwa (condensed) 300Ml
Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe
Zabibu kavu 1 Kikombe
Arki (essence) 1 Kijiko cha supu
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
1) Weka karai kwenye moto kiasi
2) Tia siagi
3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni
mpaka ziwe rangu ya dhahabu.
4) Weka lozi na zabibu huku unakoroga
5) Tia maziwa na huku unakoroga usiachie
mkono.
7) Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa
kuchotea na utie kwenye kikombe cha
kahawa nusu usikijaze.
8) Kipindue kwenye sahani utoe kileja.
9) Fanya hivyo mpaka umalize vyote.
Chapisha Maoni