TIBA(1) Weka macho yawe safi na uyakoshe
kwa maji ya waridi kila wakati. Epusha macho
kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi,
macho yasitumie nguvu sana kama vile
kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo
ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia
huchangia katika maumivu ya kichwa na
macho.awe pia anakula karoti.
AU TUMIA DAWA HII HAPA CHINI
ITAKUSAIDIA :
Tiba (2) Matatizo ya macho Asali ni bingwa
kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho
huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika
matibabu ya trachoma, conjuctivits na
maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa
asali katika nje ya jicho na ndani ya
jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia
unyoya au wa kuku au ndege yoyote
yule) kufanya hivo asali hupigana na
kujilinda na maradhi ya glaucoma.
Tiba (3) Asali pia husaidia kwa matatizo
ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya
vitunguumaji na asali uchange pamoja upake
hii kwa wale wenywe immature cataract.
(Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi )
isiyochanganywa na sukari. Chaguwa moja
kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda
wa siku 3 isipomfaa ndio unatumia Tiba
ingine.
Chapisha Maoni