Habari
kutoka nchini Niger zinaeleza kuwa Mujahidina walifanya mashambulio
mawili ya kushtukiza katika mji wa Defa kaskazini mwa nchi hiyo na
kuwaua Wanajeshi kadhaa wa Utawala wa Niger.
Mashambulio
mengine yaliofanyika nchini Camiroon Mujahidina wamewaua Wanajeshi 20
wa Serikali ya nchi hiyo,Mashambulio yanayofanywa na Mujahidina wa Ahlu
Sunna Lida'wat wal Jihad limeongezeka zaidi.
Upande
mwingine Amiri wa Mujahidina wa Nigeria Sheikh Abuu Bakar Shekow ametoa
Ujumbe mpya aliyoizungumzia uvamizi wa Mataifa ya Afrika Magharibi
waliopanga kuwashambulia Mujahidina wa Nigeria.
"Kwanini
hamkuwatuma Wanajeshi milioni saba kwani hao Elfu 7 mliowatuma ni
wachache sana na Inshallah watakuwa ni Mateka na wafungwa na
tutawaua,Mujahidina hawaogopi Wanajeshi wenu wa Kishetani",alisema
Kiongozi wa Boko Haraam.
Akiwakejeli
Mataifa ya Magharibi na yale ya Kiafrika yalio Vibaraka kwa mataifa
hayo Sheikh Abuu Bakar Shekow ameonekana kwenye mkanda mpya wa Video
iliyosambazwa kwenye mitandao ya Internet.
Chapisha Maoni