VIPANDE VYA CHENZA VILIVYOPAKWA CHOKOLETI

0 coment


Resipe
Vinavyohitajika:
1. Machenza
2. Vipande vya chokoleti
Namna ya kutayarisha:
1. Chambua machenza na
uyatenganishe na kuyafanya vipande
vipande.
2. Tandaza karatasi ya ‘wax’ kwenye
sahani.
3. Chukua vipande vya chokoleti na
uviweke ndani ya bakuli lenye nafasi ya
kukuwezesha kutumbukiza angalau
nusu ya kipande cha chenza. Tia bakuli
hilo ndani ya ‘microwave.’
4. Washa ‘microwave’ kwa moto
mdogo na uviwate vipande hivyo vya
chokoleti kwa muda hadi viyayuke.
5. Tumbukiza kipende kimoja baada ya
kingine cha chenza ndani ya chokoleti
iliyoyayuka. Kisha vitandaze vipande
hivyo kwenye ile karatasi ya ‘wax’ iliyo
kwenye sahani.
6. Sasa weka vipande hivyo ndani ya
friji kwa muda wa dakika 20 hadi 30, au
hadi chokoleti ipowe umoto wake.
7. Toa vipande hivyo kutoka kwenye
karatasi ya ‘wax’ na uandae kwenye
sahani. Tayari kuliwa.
Photo: VIPANDE VYA CHENZA
VILIVYOPAKWA CHOKOLETI

Resipe
Vinavyohitajika:
1. Machenza
2. Vipande vya chokoleti
Namna ya kutayarisha:
1. Chambua machenza na
uyatenganishe na kuyafanya vipande
vipande.
2. Tandaza karatasi ya ‘wax’ kwenye
sahani.
3. Chukua vipande vya chokoleti na
uviweke ndani ya bakuli lenye nafasi ya
kukuwezesha kutumbukiza angalau
nusu ya kipande cha chenza. Tia bakuli
hilo ndani ya ‘microwave.’
4. Washa ‘microwave’ kwa moto
mdogo na uviwate vipande hivyo vya
chokoleti kwa muda hadi viyayuke.
5. Tumbukiza kipende kimoja baada ya
kingine cha chenza ndani ya chokoleti
iliyoyayuka. Kisha vitandaze vipande
hivyo kwenye ile karatasi ya ‘wax’ iliyo
kwenye sahani.
6. Sasa weka vipande hivyo ndani ya
friji kwa muda wa dakika 20 hadi 30, au
hadi chokoleti ipowe umoto wake.
7. Toa vipande hivyo kutoka kwenye
karatasi ya ‘wax’ na uandae kwenye
sahani. Tayari kuliwa.
Share this article :

Chapisha Maoni

 
Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved