Msemaji wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh
Abdulazizi Abuu Mus'ab amefanya mahojiano maalum na Idhaa ya Kiislaam ya
Radio Al Furqan na kuzungumzia mauaji ya Mbunge wa Serikali ya FG
A/lahi Qayad Barre aliyeuawa jana pamoja na makabiliano yaliofanyika mji
wa Bosaso na Waajid.
Abuu
Mus'ab amesema jana kikosi chao walimwua Mbunge A/Lahi Qayad Barre
pamoja na Wanaume wawili waliokuwa walinzi wake katika Wilaya ya Hamar
Jajab mjini Mugadishu.
Tumememwuliza Abuu Mus'ab ni kwasababu gani wanawalenga Wabunge wasiobeba silaha?.
"Watu
hao wamejipa jukumu la kutunga Sheria na kwahivyo sisi tunawafahamu
kuwa ni Matawaghit wanao shindana na Allah katika kuhukumu na kamwe
hatutoacha kuwaua ikiwa wataendelea kubaki katika njia hiyo",alisema
Sheikh Abuu Mus'ab.
Abuu
Mus'ab kwenye mazungumzo yake amegusia Mashambuio yaliofanywa na
Mujahidina dhidi ya Maaskari wa Utawala wa Puntland nje ya mji wa
Bosaaso pamoja na makabiliano yaliofanyika mji wa Waajid mkoani Bakool.
Chapisha Maoni