Watu waliojihami na silaha wamemwua Mbunge wa Serikali ya FG jana
katika mtaa wa Hamar Jajab mjini Mugadishu.
Walioshuhudia
wanasema kwenye makutano ya Elgaabta A/lahi Qayad Barre ambae alikuwa
miongoni mwa Wabunge wa Serikali Shirikikishi ya mjini Mugadishu ambao
wanafanya juhudi ya kushiriki kwenye kikao kinachotarajiwa cha kupiga
kura ya kutokuwa na imani utawala wa Umar A/Rashid Sharma arke.
Habari
zaidi zinaeleza kuwa watu waliotekeleza mauaji hayo waliondoka eneo la
tukio bila bugudha yeyote baada ya kufikia lengo na hakuna Maaskari wa
Serikali ya FG waliojaribu kuwafuatilia.
Maaskari wawili waliokuwa walinzi wa Mbunge pia waliuawa ndani ya Gari lake A/lahi Qayad Barre.
Si mara ya kwanza kuawa kwa Wabunge mjini Mugadishu lakini mauaji haya ni ya kwanza kutokea tangu kwanza kwa mwaka huu 2015.
Chapisha Maoni