MWENYEKITI AKATWA VIUNGO HUKO MLELE MKOANI KATAVI

0 coment

Ni Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele
wilayan MLELE mkoan KATAVI watu wasiofahamika
wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele
na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia
sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake
mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho
walichukua viungo walivyokata kutoka kwa
mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria
wakaweka maji na kisha kubandika kwny moto n
kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao
walitokomea sehemu isiyofahamika polisi wilayan
MLELE wanaendelelea n uchunguz kubaini wahusika
wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea leo majira ya saa
saba ucku hayo ndo yaliyojir wilayan MLELE
Share this article :

Chapisha Maoni

 
Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved