JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA KWAPANI

0 coment

Kwanini unuke kwapa?

Hakikisha unaoga kila siku ili kupunguza
idadi ya bakteria kwapani kwani husababisha
kuweka harufu mbaya kwenye mwili hasa
majira ya joto kwa kuwa mara nyingi joto ndilo
husababisha jasho na harufu kwapani hivyo
unahitaji kuoga mara mbili kila siku, unaweza
kutumia sabuni au anti-bacterial na maji ya
moto.
Safisha nguo katika maji ya moto na sabuni ya
kuondoa uchafu na mafuta, vaa mashati safi.
Inapendekeza kuvaa mavazi yenye nyuzi za
asili, kama vile pamba na hariri ili kusaidia
kunyonya unyevunyevu na kuruhusu ngozi
kupumua.
Wakati unafanya mazoezi, tumia nguo zenye
vitambaa ambavyo vitanyonya unyevunyevu
kwapani ili kuzuia harufu mbaya.
Vinega ‘siki’ na mafuta ya chai ‘ tea tree oil’
Apple cider siki na vinega nyeupe, hupunguza
harufu kwapani. Ili kukabiliana na harufu,
loweka pamba katika vinega, paka kwenye
makwapa badala ya deodorant. Mbali na tiba
hiyo, tumia tea tree oil, inaweza pia kuwa na
manufaa kwa sababu ni anti-bacterial.
Limao
Kata limao au ndimu nusu kwa kisu. Paka
kipande cha limao ulichokata kwenye kwapa
lako na hakikisha unalisugua mpaka litoe maji
yake. Weka kwapa lako lipate hewa ili hiyo
juice ya limao uliyopaka ikauke.
Asidi citric katika maji ya limao inasaidia kutoa
tezi ya jasho hivyo kuondoa harufu.
Photo: JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA
KWAPANI

Share this article :

Chapisha Maoni

Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved