Shambulizi lililotekelezwa wakati wa swala ya
Ijumaa katika msikiti mmoja jimbo la
Shikarpur nchini Pakistan limepelekea maafa ya
watu 20 wakiwemo watoto .
Watu wengine 40 walijeruhiwa katika shambulizi
hilo huku idadi ya waliopoteza maisha ikihofiwa
kuongezeka.
Waziri Mkuu wa Pakistan Navaz Sherif na Rais
Memnun Husein wamekemea vikali shambulizi hilo
lililolenga waumini katika swala ya Ijumaa.
Chapisha Maoni