Benki ya Taifa ya Ukraine (NBU) imeanzisha sarafu
ya hryvna 5 na 10 kwa kuweka picha ya msikiti wa
Uzbek Khan na madrasa uliojengwa mwaka 1314
Crimea.
Sarafu ya hryvna 10 imetengenezwa kwa shaba
wakati hryvna 5 imetengenezwa kwa shaba ya
kijerumani.
Sarafu zote hizo zina ukubwa sawa na zimeanza
kutolewa mwaka 2014.
Kwa mujibu wa Mufti wa Ukraine Said Ismagilov
amesema kutengeneza pesa zenye kuonesha
msikiti wa Crimea ni konesha Ukraine bado
inaitambua kama sehemu ya nchi hiyo.
Msikiti wa Uzbek Khan ni moja ya msikiti mkongwe
zaidi uliojengwa hukoCrimea.
Chapisha Maoni