ALIJIFUNGUA AKIWA AMEZIMIA.
0 coment
AZINDUKA BAADA YA KUSIKIA SAUTI YA MWANAWE MTOTO WAKE AMTAFUNIA CHAKULA NA KUMLISHA waswahili wanasema hujafa hujaumbika na lolote linaweza kutokea katka kipindi cha uhai wako na ukabadilika Msemo huu umedhihirishwa na ZHANG RONGXIANG aliyepata ajali ya gari na kumfanya asijitambue na maisha yake kubadilika na kuwa ni mtu wa kulala kitandani Baada ya ajali hiyo na hali yake kubadilika madaktari walimueleza mume wake kuwa ZHANG hatapata nafuu tena maisha yake yote atakuwa mtu wa kulala kitandani bila kuinuka na haja zake zote zitafanyikia hapohapo Wakata madaktari wanaelezea hayo waligundua ZHANG ni mjamzito na mtoto tumboni alikuwa anaendelea kukua vizuri. Kwa miezi 5 baadaye mumewe ZHANG aliendelea kumhudumia akiwa nyumbani hadi alipo jifungua kwa oparesheni Mtoto huyo aliyejifungua aliitwa GOA QIANIBO na kila siku alikuwa akilala pembeni ya mama yake Kuna siku kulitokea miujiza ZHANG akapata fahamu baada ya kusikia sauti ya mtoto huyo wa kiume baada ya muda ZHANG akaweza kumeza chakula na wakati huo mtoto wake akiwa ametimia umri wa miaka 2 hivyo akawa analishwa chakula na mwanawe chakula ambacho kwanza anakitafuna. GAO alikuwa na mapenzi makubwa kwa mama yake na wakati wote al;ikuwa anakaa pembeni ya mama yake na kumtazama na kumbusu GAO ameonyesha kuwa ndiye atakuwa mlezi wa mama yake lakini haijulikani zaidi hadi hapo atakapo kuwa mkubwa BEIJING CHINA
Chapisha Maoni