PUMU NA NGUVU ZA KIUME

0 coment

PUMU-
Matumizi;(a)hutibiwa kwa kutumia;simbi zaidi ya
20,ndimu nyingi na asali.Kunywa mchanganyiko
huu kijiko 1 mara3 kwa siku hadi upone.AU kula
vitunguu maji kwa wingi
(b)Pembe ya mbuzi-kausha kisha usage na unga
wake changanya na asali na ulambe mara 3 kwa
siku

NGUVU ZA KIUME-
Hutibiwa kwa kutumia;
(a)kitunguu swaumu-
Matumizi;ponda na changanya na asali ya njano na
ulambe asali hiyo kijiko1 mara3 kwa siku tumia
mchanganyiko huu kwa wiki 2.
(b)tende na rose-
matumizi;changanya na maziwa na kisha kunywa
wiki1-wiki3.
(c)mchele mkavu-
(d)Tikiti maji,tangawizi,pilipilinafaka
halisi,mbogamboga za majani
Matumizi;tafuna mchele kidogo lisaa limoja kabla ya
kujamiiana utarudiwa na nguvu zako
Share this article :

Chapisha Maoni

 
Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved