Ligi kuu Bara Yanga yaifuata Polisi Morogoro

0 coment

Michuano ya Ligi kuu Tanzania Bara inatarajiwa
kuendelea hapo kesho ambapo timu ya Yanga
itakuwa ugenini na Polisi Morogoro mechi
itakayochezwa uwanja Jamhuri mjini humo.
Katika muendelezo wa michuano hiyo, Jumapili
kutakuwa na mechi kadhaa ambapo
zitawakutanisha Azam na Simba mechi
itakayochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaa,
huku Kagera Sugar ikiikaribisha Ndanda uwanja
wa CCM Kirumba mjini Mwanza, Coastal Union
ikikaribisha na Stand United Uwanja wa Kambarage
mjini Shinyanga, Mbeya City ikikutana na Tanzania
Prisons uwanja wa Sokoine Mbeya, Ruvu Shooting
na Mtibwa Sugar ambao watakutana uwanja wa
Mabatini Mlandizi na JKT Ruvu watakutana na
Mgambo Shooting uwanja wa Chamazi jijini Dar es
salaam.
Wambura amesema, katika michuano hiyo ya Ligi
kuu, kulitokea vurugu katika mechi zilizopita
ambapo Yanga walikutana na Ruvu Shooting na
kutokea vurugu katika mechi hiyo ambapo
amewaomba Yanga kuzingatia taratibu na sheria za
Soka ili kuweza kupata haki kwani hakuna Sheria
inayoruhusu taarifa ya msimamizi kutolewa
hadharani.
Photo: Ligi kuu Bara Yanga yaifuata Polisi
Morogoro

Share this article :

Chapisha Maoni

Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved