SAMBUSA ZA VIAZI

0 coment

SAMBUSA ZA VIAZI

VIPIMO
Viazi 4
Vitunguu nyasi vilokatwakatwa
3 miche...
Kitunguu maji kilokatwakatwa
1
Chumvi 1
kijiko cha chai
Bizari ya pilau nzima ( jeera) 1
kijiko cha chai
Mafuta Nusu
kilo
Manda za tayari 10 -
20
Yai 1 au 2

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
1. Menya viazi, vioshe vikate slesi kisha
vikatekate vipande vidogo vidogo.

2. Chemsha maji kidogo ukiwa umeyatia
chumvi , kisha vimimine viazi ndani ya maji
yawache paka uwone tena yachemka kwa
mara ya pili acha kwa dakika 10 - 15, kisha
ondoa jikoni.

3. Mimina katika chujio uchuje maji .

4. Roweka bizari kwenye maji kwa muda wa
dakika 20 hivi.

5. Chukua bakuli kubwa lenye nafasi mimina
viazi, vtunguu nyasi na maji, chumvi, mafuta
vijiko 2 – 3 vya supu, na bizari. Changanya
vizuri.

6. Tandaza manda mezani au kwenye kibao
fanya mkunjo wa sambusa kisha paka yai
kwa brashi, kunja upate pembe moja .
.

7. Jaza viazi sehemu ulokunja kisha funga
sambusa.

8. Tia mafuta katika karai, yakipata moto, tia
sambusa ziikaange hadi zigeuke rangi ya
dhahabu.

9. Zitoe na zichuje mafuta tayari kuliwa kwa Sosi
Ya Ukwaju au Chatine Ya Mtindi Na Nanaa
Photo: SAMBUSA ZA VIAZI

VIPIMO
Viazi                                                                          4
Vitunguu nyasi vilokatwakatwa
 3 miche

Tazama picha.

7. Jaza viazi sehemu ulokunja kisha funga
sambusa.

8. Tia mafuta katika karai, yakipata moto, tia
sambusa ziikaange hadi zigeuke rangi ya
dhahabu.

9. Zitoe na zichuje mafuta tayari kuliwa kwa Sosi
Ya Ukwaju au Chatine Ya Mtindi Na Nanaa
Share this article :

Chapisha Maoni

Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved