VIPIMO
Manda ya sambusa ya tayari Kiasi
inavyouzwa
(Kiasi ya sambusa 40-50)...
Mafuta ya kukaangia Kiasi
Kuku (kidari) kilichosagwa 1
Kilo
Kitunguu saumu(thomu) na tangawizi
iliyosagwa 1 kijiko cha chai
Pilipili mbichi iliyosagwa 1
Kijiko cha chai
Pilipili manga 1
kijiko cha supu
Bizari ya pilau ya unga (cummin powder)
1 kijiko cha chai
Bizari ya mchuzi 1
kijiko cha chai
Ndimu 1 kijiko
cha supu
Mboga mchanganyiko (za barafu) 1
kikombe
Chumvi Kiasi
Nyanya iliyokatwa ndogo ndogo 1
Vitunguu maji vilivyokatwa (chopped)
1 Kikombe
Kotmiri iliyokatwa (chopped) 1
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
1. Pika nyama ya kuku ya kusagwa kwa
kutia chumvi, thomu na tangawizi,
pilipili, ndimu na bizari zote.
2. Karibu na kuwiva tia mboga za
mchanganyiko (frozen vegetables).
3. Zima moto na tia nyanya, vitunguu na
kotmiri.
4. Funga sambusa katika manda kama
kawaida.
5. Pika sambusa katika mafuta ya moto hadi
ziwe nyekundu na zikiwa tayari
kuliwa.
Manda ya sambusa ya tayari Kiasi
inavyouzwa
(Kiasi ya sambusa 40-50)...
Mafuta ya kukaangia Kiasi
Kuku (kidari) kilichosagwa 1
Kilo
Kitunguu saumu(thomu) na tangawizi
iliyosagwa 1 kijiko cha chai
Pilipili mbichi iliyosagwa 1
Kijiko cha chai
Pilipili manga 1
kijiko cha supu
Bizari ya pilau ya unga (cummin powder)
1 kijiko cha chai
Bizari ya mchuzi 1
kijiko cha chai
Ndimu 1 kijiko
cha supu
Mboga mchanganyiko (za barafu) 1
kikombe
Chumvi Kiasi
Nyanya iliyokatwa ndogo ndogo 1
Vitunguu maji vilivyokatwa (chopped)
1 Kikombe
Kotmiri iliyokatwa (chopped) 1
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
1. Pika nyama ya kuku ya kusagwa kwa
kutia chumvi, thomu na tangawizi,
pilipili, ndimu na bizari zote.
2. Karibu na kuwiva tia mboga za
mchanganyiko (frozen vegetables).
3. Zima moto na tia nyanya, vitunguu na
kotmiri.
4. Funga sambusa katika manda kama
kawaida.
5. Pika sambusa katika mafuta ya moto hadi
ziwe nyekundu na zikiwa tayari
kuliwa.
Chapisha Maoni