Toleo la pili baada ya shambulio katika makao
makuu ya gazeti la Charlie Hebdo litatolewa tarehe...
25 mwezi huu.
Mhariri mpya wa gazeti la Charlie Hebdo
amefahamisha kuwa katika toleo lake lijalo
litakalotolewa Februari 25 halitokuwa na kibonzo
cha Mtume Muhammad ﷺ.
Gazeti la Charlie Hebdo litachapisha toleo lake la pili
baada ya shambulio katika makao makuu yake
jijini Paris ambalo watu 12 waliuawa mnamo
Januari 7.
Gazeti hilo lilichapisha kibonzo cha Mtume
Muhammad ﷺ katika toleo lake la kwanza baada
ya shambulio hilo.
Mhariri mpya wa gazeti hilo alifahamisha kuwa
toleo lijalo halitokuwa na kibonzo cha mtume na
kuwataka wateja wake wawe na uvumilivu.

Chapisha Maoni