Viungo/Viambato:
Maandalizi:
Unga wa ngano vikombe 2
sukari vijiko 2
chumvi kijiko 1
mayai 1
maziwa au maji 1/2 kikombe
1:Changanya kilakitu
Changanya unga, yai, maziwa au maji, chumvi na sukari na kisha koroga hadi upate mchanganyiko mithili ya uji
2:Bandika kikaangio chanye mafuta jikoni
Subiri hadi mafuta yachemke
3:Mimina mchanganyiko uliouandaa kwenye kikaangio
hakikisha mchanganyik wako unasambaa kwenye kikaangio.
4:Kaanga chapati yako
5:Epua chapati yako tayari kwa kula
Chapisha Maoni