NGUVU ZA KIUME

0 coment

MADA YA LEO ITAHUSIANA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume limekua sugu miongoni mwa jamii zetu huwakumba wengi hasahasa vijana na hili tatizo hutokana na sababu nyingi zikiwemo
KISAIKOLOGIA
  • HOFU NA PUPA: hii hutokea pale ambapo Mwanaume hupatwa na tamaa haswa ya jimai na kushindwa kujizuia, humpelekea kumaliza mapema chini ya dakika mbili na kushindwa kusimamisha dhakari hivyo HOFU huingia na kuzuia mawazo ya msisimko wa tendo na kusababisha dhakari kusinyaa
  • KUPOTEZA MSISIMKO: Hii hutokana na kupoteza hamasa ya tendo kwa yule unae fanya nae ama akili kutokusisimka kutokana na Utendaji Mbaya wa Jimai ulio pita pia Msongo Wa Mawazo kutokana na matatizo ya kimaisha.
KIMWILI
  • UDHAIFU WA MISHIPA YA PUBOCOCCYGEUS (PC):
Kama Misuli ya Pubococcygeus (pc) ikiwa dhaifu humpelekea mwanaume kushindwa kujizuia kutokana na kufika upesi na pia humfanya mwanaume ashindwe kua na nguvu za kunyanyua dhakari pindi inapo sinyaa 

MATIBABU
  • TANGAWIZI - Chemsha Tangawizi gramu 100 kwa maji lita moja na nusu baada ya kuchemsha haswa changanya na asali lita moja .
    Matumizi - vijiko vitatu asubuhi na jioni
  • MAFUTA YA KHARDAR NA UNGA WAKE - chukua mafuta ya khardar changanya na unga wake kisha chua Dhakari kila unapo taka kulala pia hukuza dhakar na kuipa nguvu haswa
Share this article :

Chapisha Maoni

 
Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved