pishi:biskiuti za ufuta
maandalizi na mahitaji
mahitaji
maandalizi na mahitaji
mahitaji
unga wangano gramu 450 [kama vikombe 3 vya chai]
sukari ya kusaga robo kikombe
siagi 250 gramu
mayai 3
jam kiasi
ufuta gramu 120 kama vikombe 3/4
vanila 1 kikombe cha chai
JINSI YA KUPIKA
CHANGANYA SIAGI NA SUKARI KWA KUTUMIABLENDA
ONGEZA YAI MOJA HUKU UKIENDELEAKUCHANGANYA,KISHA ONGEZA VANILA
WEKA MCHANGANYIKO WAKO KWENYE MAKULI SAFI tia baking powder na unga kisha changanya kwa mikono vizuri
paka siagi chombo cha kupikia
tengeneza viduara vidogovidogo
bonyeza katikati ya kila kiduara kisha weka jam kisha juu yake paka mayai na unyunyizie ufuta
pika katika moto wa chini 350 F KWA MUDA WA DAKIKA 20/25 TAYARI KWA KULIWA
Chapisha Maoni