mambo ya jikoni
0 coment
TAMBI ZA MAYAI NI MOJA KATI YAVYAKULA AMBAVYO UNAWEZA KUPIKA KWA HARAKA KAMA HUNA MUDA WA KUKAA JIKONI LAKINI NI CHAKULA AMBACHO MUONEKANO WAKE NI WAKUVUTIA HASA AMBAVYO MAYAI MAYAI HUSHIKAMA NA TAMBI mhitaji TAMBI 1/2 PAKETI VITUNGUU MAJI 2 VIKUBWA KAROTI 1 HOHO 1 VITUNGU SWAUMU[kata vipande vidogo]KIJIKO 1 CHA CHAKULA carry powder kijiko 1NJEGERE VILIZO CHEMSHWA 1/2 KIKOMBE MAFUTA MAYAI 2 CHUMVI utayarishaji CHEMSHA MAJI YA MOTO YANAYOTOKOTA WEKA CHUMVI NA MAFUTA KIDOGO KISHA WEKA TAMBI CHEMSHA HADI ZIIVE CHUJA MAJI ILI KUPATA TAMBI KAVU KATIKA KIKAANGO WEKA MAFUTA ,VITUNGUU MAJI,VITUNGUU SWAUMU,HOHO,KAROI NA CARRY POWDER KAANGA KWA PAMOJA KATIKA MOTO MDOGO KWA MUDA MFUPI ONGEZA TAMBI NA NJEGERE KATIKA KIKAANGO GEUZA KILA MARA ILI KUCHANGANYA ONGEZA MAYAI KWENYE TAMBII AMBAYOULISHAYAGONGA PEMBENI KISHA GEUZA KWA HARAKA BILA KUPUMZIKA HADI YAIVE NA TAMBI ZIWE KAVU WEKA MOTO WA WASTANI .......tayari kwa kula unaweza kula tambi hizi kwa mboga yoyote uipendayo au laa ukala zikiwa zenyewe na kufurahia ladha yake zaidi
Chapisha Maoni