familia moja nchini Kenya inamtafuta motto wao anaemia kukamtwa NA POLISI wa kupambana NA Ugaidi inchini humo Katrina Mji wa malindi.Kijana jabran Hasan mbarak mwenye umri wa miaka 25 alikamatwa siku ya alhamis baada ya swala ya alasr Katrina MSIKITI wa noor.
Taarifa za awali zinasema polisi hao waliwakamata watu wawili Katika MSIKITI huo.
Familia ya jabran inasema kijana wap alikamatwa NA watu wasiojulikana ambao walijitanbulisha Kama maafisa wa polisi kutoka kitengo cha kupambana NA ugaidi.
Wakati wanamkamata jabran walionya yeyote kutoingilia sakata Hilo.
Jabran ni mhasibu wa kituo kimoja cha mafuta total NA anasoma masomo ya jioni katika chuo cha mt Kenya university kilichopo malindi.Kijana.
Dada wa jabran aitwe johra Hassan mbarak alisema jitihada za kumtafuta zinaendelea Kati maafisa waandamizi wa polisi malindi wamekanusha kumkamata jabran.
Mkuu wa kitengo cha kupambana na ugaidi hawakuwa na operation yoyote mjini malindi wiki iliyopita. Tulitoa taarifa katika kituo cha polisi malindi na tukamtafuta katika vituo vingine vya polisi lakini hatukumpata. Tunaiomba serikali itusaidie katika hili.alisema familia yake wana haki ya kumuona na kujua WaPI alipo na kwanba jabran hana hatia yeyote na hakuwahi kuwa na rekodi yeyote ya uharifu
Aliongeza kwa kusema polisi wanekuwa wakiongeza khofu kwa wakaazi.
Matukio ya kukamtwa na kupotea kwa vijana wa kiislam nchini Kenya yamekuwa yakitokea Mara kwa Mara kiasi cha kutofahamika matukio ya namna hii lini yatakoma
Kijana aitwae Omar almaarufu kama DIS. Wa malindi katikati ya mwaka Jana alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni polisi na kutoweka nae ambapo mpka Leo hii hajulikani alipo.
Muhubiri wa kiislam alisema kweli polisi waliwakamata jabran na kutoka nae. Alisema familia yake ina haki ya kumuona na

Chapisha Maoni