MAMA AUA WATOTO WAWILI NA KUWAFUKIA NDANI

0 coment

Mama aua wanaye wawili na
kuwafukia ndani

Katika hali isiyokuwa ya kawaida watoto wawili
mmoja wa miaka minne, na mdogo wake wa miezi
minne wameuawa na mama yao, Zuhura Steven,
aliyedhaniwa kutokuwa na akili timamu, na
kufukiwa katika mashimo mawili tofauti.
Watoto waliouawa kikatili baada ya kufuki
a
kutoka kwenye shimo
Watoto hao wamefukiwa katika nyumba walimo
kuwa wakiishi iliyoko katika mtaa wa Salmini kata
ya Chemchemu manispaa ya Tabora
Wakizungumzia tukio hilo linalodhaniwa kutokea
kuanzia asubuhi ya terehe 25/01/2015, hadi
walipogundua tukio hilo usiku za saa moja,
mwenyekiti wa mtaa wa Barehani pamoja na
wananchi walioshuhudia tukio hilo usiku,
amesema kuwa watoto hao hawakuonekana
wakicheza kama mazoea yao,
Aidha Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Tabora
kamishna msaidizi Juma Bwire, pamoja na matukio
kadhaa yaliyotokea, Jeshi la polisi linasikitishwa na
tukio hilo la kikatili, ambapo amesema upelelezi
ukikamilika atafikishwa mahakamani.
Amewataja marehemu kwa majina kuwa ni
Mwamvua Mrisho (miaka 4) na Soud, ( miezi 4).
Photo: Mama aua wanaye wawili na

Share this article :

Chapisha Maoni

Designed By AL HUDDAH
Islamic foundation
Copyright © 2013. RIAD BIN RUWEHY | All Rights Reserved